Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha... umeona eehNi sawa na kusema tofauti kati ya Barrick na Acacia. Ni kampuni mbili tofauti kwa sheria za uanzishwaji wa makampuni TZ. Sasa Bibi-lia na Biblia wapi na wapi?!. Dogo yupo sahihi. Bibi-lia=Grandmother-Cry. Dingi hapo ni kama Bunge la TZ. Ni mapoyoyo na kudunda meza kwa ndiooooo Barick=Acacia. Tumeibiwa bila Acacia kuwa na leseni mpaka leo! Mfyuuuuu.