Kati ya Bange na Sigara, ipi ni hatari zaidi kiafya?

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,897
Huko ugaibuni bange ina uzwa kama njugu na tena inatumika kutibu maradhi mbalimbali. Lakini sigara kwa upande mwingine ndio inaongoza kwa kusababisha vifo vya cancer. Je Bange ni salama zaidi kwa matumizi??
 
inafaida ase...tumia wakat unataka kusoma huta lala utashka vtu husahau...so sigara ni hatar sana
 
Bange ni salama inategemea na kichwa chako na mawazo yako. Bange inakupa misimamo steam flani hiv amaizingi. Japo sijawahi kuvuta ni utafiti niliofanya kwa marafiki zangu.
 
Kwani kuna takwimu za bange kuua..? Sigara je? Bange ni salama sana mara dufu kuliko sigara, sigara ni sumu. Sasa jiulize kwanini wanalegalize sigara na kukataza dawa ya bange
 
Bange ni salama inategemea na kichwa chako na mawazo yako. Bange inakupa misimamo steam flani hiv amaizingi. Japo sijawahi kuvuta ni utafiti niliofanya kwa marafiki zangu.

Unaweza sana marketing hasa ya bange hongera sana
 
Bange inategemeana na kichwa, kama kichwa cha panzi tatizo, ila kama kichwa kipo vizur unatumia wala haina tatizo, madhara ya sigara ni makubwa zaidi, ila naskia inapunguza nguvu za kiume, wanaojua watujuze
 
Huko ugaibuni bange ina uzwa kama njugu na tena inatumika kutibu maradhi mbalimbali. Lakini sigara kwa upande mwingine ndio inaongoza kwa kusababisha vifo vya cancer. Je Bange ni salama zaidi kwa matumizi??

Sigara. Bangi / Bange Ni Nzuri Sana Ktk Kukuongezea Uwezo Wa AKILI Na UTASHI Wa Masaula Mbalimbali Ya Kidunia Na Ya Kijamii Ijaribu Mkuu.
 
Sigara ni hatari sana kiafya.Sema tu
baadhi ya watu wananufaika nayo
kama zao lao la biashara na wakati
huo huo kunapunguza wimbi la vijana
kuingia moja kwa moja kwenye matumizi
ya dawa za kulevya.

Tukisema bangi iruhusiwe kutumika
kwenye jamii yetu isiyo na ajira wala
mwelekeo maalumu wa kimaisha
nayo pia ni hatari sana kimaadili.

My take: bora bangi kuliko sigara
hasa kwa wenye kujitambua
na penyewe iwe kama dozi (dawa) na si
kama sehemu ya starehe.
 
Cannabis sativa is illegal because the rich want to remain richer

pitieni hii nakala hapa chini hamtojuta kabisa imewekwa kiwazi zaidi na wameonesha statistics za vifo sababu ya Sigara as comapared to Bange na sigara imebaki kuwa notorious lkn bado ni illegal

The Marijuana Conspiracy

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…