Kati ya Bange na Sigara, ipi ni hatari zaidi kiafya?

Kati ya Bange na Sigara, ipi ni hatari zaidi kiafya?

bangi ni dawa ya pumu mim muda wote ninayoo nikijiskia kifua kinauma nikivuta kinapoaa ila kuna siku nilijarbu cgaraa nikiwa nimebanwa kifua asee nilionaa had mazish yangu yakifanyika msarangaa moshiiiiiii
 
Wengi huitumia bangi kama chakula anaivuta hata kula hali au anakula mara 1 kwa siku, nadhani wanaofaidi ni wale wanaoitumia kama starehe huku wameshiba na sio kuvuta eti iwapunguzie mawazo.
 
Back
Top Bottom