Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Kivipi na kwa nini?Michael Jackson ni maarufu kuliko watu wote duniani.
Pitia uzi wangu huu uone orodha ya watu 10 maarufu zaidi duniani..Michael Jackson ni maarufu kuliko watu wote duniani.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] umenichekesha sana aisee.Michael Jackson ni level ya kina Yesu kwa habari ya umaarufu, Marley unaweza kuta hata hapo Tunisia wengi hawamjui.
Wakikujibu naomba unitagi dada yangu FaizaFoxy.Huo ubishi unawasaidia nini?
Amini Mkuu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] umenichekesha sana aisee.
Eti level za akina yesu
Acha ushabiki maandazi,hakuna kama Bob MarleyMichael Jackson ni maarufu kuliko watu wote duniani.
Mwaka 2009 Kati ya watu Bilioni 6.8 watu Bilioni 4.6 walikuwa wanamjua Michael Jackson nenda google kasomeKivipi na kwa nini?