Kati ya Bob Marley na Michael Jackson nani ni maarufu kuliko mwenzake?

Kati ya Bob Marley na Michael Jackson nani ni maarufu kuliko mwenzake?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Kuna ubishi unaendelea mahali, ubishi wenyewe unawahusu KING OF REGGAE ambaye si mwingine bali ni BOB NESTA MARLEY na KING OF POP ambaye ni MICHAEL JACKSON sasa ubishani uliopo nani ni maarufu kuliko mwingine?





%E2%80%9CMy%20love%20for%20my%20people%20is%20stronger%20than%20anyone%E2%80%99s%20hate.%E2%8...jpeg
_I%20love%20performing.%20It's%20a%20phenomenal%20getaway.%20If%20you%20want%20to%20really%20...jpeg
 
Michael Jackson ni maarufu kuliko watu wote duniani.
Pitia uzi wangu huu uone orodha ya watu 10 maarufu zaidi duniani..

Ila Michael naona ni maarufu kuliko Bob..
 
Kila mmoja ni maarufu kwa namna yake, japo MJ kwa ujumla ndio anaongoza.
 
Michael jackson hii ni level nyingine kabisa huyu ni kama bible hanafahamika ulimwengu wote
 
bob n maarufu sana, maana yeyote aifahamuye bhangi kwa kusikia, kuona ama kuitumia, kuona mtumiaji. kuambiwa madhara yake lazima atamfahamu bob marley

popote alipo rasta, aliye wah muona ama kuambiw lazima atamjua bob, hadi zile rasketi huitwa bob marley (kama umewahi iona ama itumia lazima umjue bob)

kifup bob anaishi, ukiachanq na mzik wake bas bhang, rasket na mtindo wa rege ama rasta umfanya atambulike hata na dog wa miaka 4

jackson hakuna kitu anafahamika kwa wakubwa tu
 
Kila mmoja na eneo lake. Bob bado ni King wa Reggae!

Hebi sikiliza lie goma linaitwa Zimbabwe: ....."We gonna fight"
 
Hawa umaarufu wao mimi naona unalingana.

Sijawahi kukutana na mtu hawafahamu hawa watu watatu.

1.Bob Marley
2.Michael Jackson
3.2pac

Bora hata 2pac kuna wachache sana wanaweza kuwa hawamjui but kwa Bob Marley na Michael Jackson hawa jamaa sijawahi ona mtu hawafahamu.
 
Back
Top Bottom