Elly official
JF-Expert Member
- Sep 16, 2018
- 730
- 989
Unawasaidia kumpenda mtume wa ala mwamedi subuana wataaalaHuo ubishi unawasaidia nini?
Michael JacksonKuna ubishi unaendelea mahali, ubishi wenyewe unawahusu KING OF REGGAE ambaye si mwingine bali ni BOB NESTA MARLEY na KING OF POP ambaye ni MICHAEL JACKSON sasa ubishani uliopo nani ni maarufu kuliko mwingine?
View attachment 1194927View attachment 1194928
What!!!!?Michael Jackson ni level ya kina Yesu kwa habari ya umaarufu, Marley unaweza kuta hata hapo Tunisia wengi hawamjui.
Hii komenti yako haisaidii kitu hapa au ndio kutokuelewa mada husika?Huo ubishi unawasaidia nini?
Unasaidia kujua, bob na wacko jako nani zaidi.Huo ubishi unawasaidia nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jibu muruwaaaUnasaidia kujua, bob na wacko jako nani zaidi.
Kwani walikua wanatafuta msaada gani?Huo ubishi unawasaidia nini?
Usitende dhambi vipi ...? Kwani niuongo wewe umeshawahi kuliona balaa la Mj wewe akiwa mtaaniWhat!!!!?
Mungu Wangu nisaidie nisitende dhambi!
Umepotea sana MummyHuo ubishi unawasaidia nini?
Anataka tuanze kutukanana matusi mazito mazito....Huo ubishi unawasaidia nini?