Kati ya Bob Marley na Michael Jackson nani ni maarufu kuliko mwenzake?

Kati ya Bob Marley na Michael Jackson nani ni maarufu kuliko mwenzake?

Bob ni maarufu zaidi angalia alikufa lini na umaarufu na ideology zake zinaishi hadi leo. Bob aliuawa na wanasiasa sababu alitishia maslah yao ila huyu flan alikufa kwa sababu ya tamaa za hela
 
Bob Ni maarufu zaidi nyimbo zake na mahadhi ya reggae yanajulikana dunia nzima pia Bob ana upekee fulani wa sauti ambao Ni distinguishable

MJ Hana upekee hususan kwa afrika nzima ukienda vijijini hata nyimbo zake hawazijui mfano mtanzania wa masuguru korogwe sio rahisi atofautishe nyimbo au sauti ya MJ na Elvis Persey Marvin Gaye na Cris brown
 
Sizonje ndio MTU maarufu kwa sasa, anayatenda ambayo hatukuzowea.
 
Umeamua kuutoa ubishi huko na kuuleta huku! Umedhamiria na sisi pia tubishane!
 
Kila mtu alikuwa maarufu upande wake! Na nyimbo zao mfano Michael ni king of Pop na Bob Marley ni raggae so ni vitu tofauti
 
Maiko nimemjua zaidi pamoja na Muziki wake pindi alipofariki. Ila Bobu tangia Niko mdogo tayari najua nyimbo zake kibao.
 
Dah...mtabishana sana bila kufikia suluhisho ... ila nnachojua watu wa kutoka moshi karibu wote hawataelewa ukisema Bob Marley sio maarufu....!
 
Binafsi Jackson Ni maarufu huyo bob cjawahi kumkubali namwelewa sana Luck Dube
 
Back
Top Bottom