Kati ya Boda Boda na taxi mjini nini kinalipa [emoji1374]

Kati ya Boda Boda na taxi mjini nini kinalipa [emoji1374]

bodaboda itoe kwa mkataba ,kwa siku@10000=300000X12
 
Nauliza nikiamua kufanya biashara kati ya Boda boda na tax jmn
 
Kinacholipa ni bajaji, maana saiv abiria wengi wanapanda mwendokasi
 
Back
Top Bottom