Kati ya carina TI na swiff nichukue ipi??

Wazo la kabwela

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2013
Posts
1,812
Reaction score
1,373
habari wana bodi hapa

kati ya gari tajwa hapo juu ipi nzuri

kuanzia vipuli, ulaj wa mafuta, uimara wa body izingatiwe mimi naishi sehemu ambayo asilimia kubwa ni barabara ya vumbi.

naombeni ushauri
 

Bei million tisa nanusu ipo kwny hali nzuri ipo arusha
0672852415
 
TI INAFAA WATU WA MAKAMO NA WALIOCHUKUA PENSION KIJANA DAMU INADAI BADO CHUKUA SWIFF HIYO
 
Carina ti ndo bab kubwa...injini imara 5A FE ..mafuta kidogo..bodi ngumu..brek sistem ya uhakika..mwendo mzuri...uki I pimpy inakubali sanaaa...Ila tu fasheni yake inapita sasa maana model ya mwisho ni ya mwaka 2001 so uamuzi unao wewe
 
Je kwa mimi mtu wa kusafiri sondea-dar kila mwezi mara 1 carina ti itanifaa?
 
Hutu tugari twa chini hatuonekani kwenye milima ujue. Madereva waseng* hawanaga mda navyo anaovertake tu hata kama unakuja, we mwenyewe utaingia machakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…