Kati ya carina TI na swiff nichukue ipi??

Kati ya carina TI na swiff nichukue ipi??

inafaa mkuu Ti ina roho ya paka ndio mana madereva texi wengi wanazipenda
Asante mkuu je manual zipo kweli maana kila ninayoiona ni auto na kama zipo bei ni sawa na auto?
nawasilisha wakuu
 
chukua swift sport 2012
 

Attachments

  • Swift.jpg
    Swift.jpg
    67.6 KB · Views: 91
habari wana bodi hapa

kati ya gari tajwa hapo juu ipi nzuri

kuanzia vipuli, ulaj wa mafuta, uimara wa body izingatiwe mimi naishi sehemu ambayo asilimia kubwa ni barabara ya vumbi.

naombeni ushauri
Chukua TI....
 
Ukiagiza kupitia Beforward kwenye BF Supported I.D weka 500291 utapata punguzo kwenye gharama za kununua gari
 
Duh unalinganisha carina na swift ni vitu viwili tofauti. Carina ni gari nzuri na Toyota zina spare nyingi kuliko Suzuki
 
Chukua TI kwanza inatumia mafuta vizuri,pili ni kubwa,ina nafasi ya kutosha ukilinganisha na hiyo Swift..
 
Hutu tugari twa chini hatuonekani kwenye milima ujue. Madereva waseng* hawanaga mda navyo anaovertake tu hata kama unakuja, we mwenyewe utaingia machakani
Pole. Inaonekana yalishwahi kukukuta.
 
fanya uchukue zote mkuu, alaf unatest utajua ipi ni bora
 
Back
Top Bottom