Nicky nicky
Senior Member
- Aug 20, 2011
- 106
- 9
Kama kichwa kinavyo jieleza.Naomba kufahamu ni wapi kati ya cbe,t.i.a na iaa naweza pata elimu nzuri katika fani ya ugavi(procurement & supply management) hasa katika kiwango cha post graduate diploma.Kalibuni!
Hapo hamna chuo cha maana zote takataka tu njoo MUCCoBS
Nashukulu ila naona MUCCoBS hamna post graduate diploma ya procurement mkuu!!
Kama kichwa kinavyo jieleza.Naomba kufahamu ni wapi kati ya cbe,t.i.a na iaa naweza pata elimu nzuri katika fani ya ugavi(procurement & supply management) hasa katika kiwango cha post graduate diploma.Kalibuni!
Mkuu kama unahitaji uko mbelen uje kuwa na CSP,T I A ze best bcoz mitihan ya bodi na mitahan anayefanya bachela ya ugav T I A mambo ni mulemule
Hapana chezea IAA ww, kaka pale ni bonge ls chuo na kina sife kwenye soko la ajila
ebu kajifunze kuandika kwanza..unaandika kama mtoto wa daycare.
Acha umbulula wewe
Mkuu kama unahitaji uko mbelen uje kuwa na CSP,T I A ze best bcoz mitihan ya bodi na mitahan anayefanya bachela ya ugav T I A mambo ni mulemule
Kila mtu ataelezea kwa chuo anachojua, ndo maana mkuu umeuliza post graduate mtu kakujibu bachelor huko Muccobs (kama sijakosea), TIA is the best mitihani ya CSP kama unasoma topic za 3rd year procurement!