Kati ya CBE,T.I.A na IAA ni chuo kipi kinaongoza kwa kutoa wahitimu bora wa fani ya ugavi?

Status
Not open for further replies.
tia,iaa,cbe xo iyo ndio preference pia cheki content za course
 
Hakina maana, kwa mfano?

Mkuu..humu kuna watu nadhan utoto unawachanganya everytym wao masihara msamehe tu mtu kama huyo awezi kukupa sababu yoyote kwanini hakina maana...Nicky nicky..mimi nilisoma TIA coz ya procurement 3yrs nilipomaliza nikajiunga na mitihan ya bodi serious kuna somo km international Procurement,Public Procurement na strategic Procurement aisee haya masomo maswali yake mengi ktk mitihan niliyofanya ni yale niliyofanya 3rd year yangu so ilikuwa kama marudio na isitoshe walimu wangu wa masomo hayo nikiwa chuo walikuwa ni wajumbe bodi ya material nachotaka kukueleza TIA ze Best kwa Procurement ilinirahisishia kupata Csp yangu
 
Nashukulu sana mkuu kwa mwongozo wako,najihisi kupata majibu.ngoja wajumbe wengine waje
 
Kote ni kuzuri ila TIA ni kuzuri zaidi,hata matokeo yaliyopita ya CSP wamefanya vizuri sana,nilisoma walaka wa bod ya wagavi nikaona iyo kitu miez kama mitatu iliyopita,kwaiyo mi nakushauri nenda TIA
 
Csp ndo nini mkuu
 
Kama unataka kuwa "mgavi jeuri" nenda TIA. Jamaa nakutana nao maofisini ni watendaji wazuri na wanajua wanachokifanya. Pia kama wadau walivyodokeza hapo juu, kwa mhitimu wa TIA CSP anaiokota kwa wepesi sana.
 
Le Profesee!
kama nakuona vile huko uliko, kihemuhemu chako kimekomeshwa sasa.

Halafu siku hizi watu wanatumia vibaya taaluma za wanaostahili hasa wanapojiita Prof, Dr. bila kujua wanadhalilisha hadhi, taabu sana.
 
Kote ni kuzuri ila TIA ni kuzuri zaidi,hata matokeo yaliyopita ya CSP wamefanya vizuri sana,nilisoma walaka wa bod ya wagavi nikaona iyo kitu miez kama mitatu iliyopita,kwaiyo mi nakushauri nenda TIA

Nashukulu sana mkuu!
 
Kama unataka kuwa "mgavi jeuri" nenda TIA. Jamaa nakutana nao maofisini ni watendaji wazuri na wanajua wanachokifanya. Pia kama wadau walivyodokeza hapo juu, kwa mhitimu wa TIA CSP anaiokota kwa wepesi sana.

Baraka kwako ndugu kwa muongozo huo.thanks!
 
Kama kichwa kinavyo jieleza.Naomba kufahamu ni wapi kati ya cbe,t.i.a na iaa naweza pata elimu nzuri katika fani ya ugavi(procurement & supply management) hasa katika kiwango cha post graduate diploma.Kalibuni!

nenda iaa kiongozi ni kiboko
 
Tatizo watu hawajui kati ya chuo kipo wapi na staha yake dhidi ya kitu kinachofatwa chuo...ukweli ni kwamba cbe and IAA ni vyuo vizuri ila IAA ni pesa kwanza,CBE ni pazuri ila hpo nyuma ilikuwa na jina c zuri ila sasa hivi inarudi...TIA katika suala la ACCOUNTS and PROCUREMNT jamaa ni wazuri wapo safi sana ila changamoto ni ktk sokko la ajira TIA wao wana base sana katika ACCOUNTS and FINANCE thats why wanapata shida sana kupata kazi ktk banks and NGOs but ktk Audit firms and clearing companies wapo kibao..na serikalini pia wanapata ajira ata katika taasisi za serikalini wengi ni TIA kuliko IFM/CBE/IAA/MUCCOBS
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom