Nicky nicky
Senior Member
- Aug 20, 2011
- 106
- 9
- Thread starter
-
- #21
Nenda cbe.
Nenda NIT.
Hakina maana, kwa mfano?
Mkuu..humu kuna watu nadhan utoto unawachanganya everytym wao masihara msamehe tu mtu kama huyo awezi kukupa sababu yoyote kwanini hakina maana...Nicky nicky..mimi nilisoma TIA coz ya procurement 3yrs nilipomaliza nikajiunga na mitihan ya bodi serious kuna somo km international Procurement,Public Procurement na strategic Procurement aisee haya masomo maswali yake mengi ktk mitihan niliyofanya ni yale niliyofanya 3rd year yangu so ilikuwa kama marudio na isitoshe walimu wangu wa masomo hayo nikiwa chuo walikuwa ni wajumbe bodi ya material nachotaka kukueleza TIA ze Best kwa Procurement ilinirahisishia kupata Csp yangu
tia,iaa,cbe xo iyo ndio preference pia cheki content za course
Kote ni kuzuri ila TIA ni kuzuri zaidi,hata matokeo yaliyopita ya CSP wamefanya vizuri sana,nilisoma walaka wa bod ya wagavi nikaona iyo kitu miez kama mitatu iliyopita,kwaiyo mi nakushauri nenda TIA
muulizeni mpigamsuli
Hapo hamna chuo cha maana zote takataka tu njoo MUCCoBS
Le Profesee!
kama nakuona vile huko uliko, kihemuhemu chako kimekomeshwa sasa.
Kote ni kuzuri ila TIA ni kuzuri zaidi,hata matokeo yaliyopita ya CSP wamefanya vizuri sana,nilisoma walaka wa bod ya wagavi nikaona iyo kitu miez kama mitatu iliyopita,kwaiyo mi nakushauri nenda TIA
Kama unataka kuwa "mgavi jeuri" nenda TIA. Jamaa nakutana nao maofisini ni watendaji wazuri na wanajua wanachokifanya. Pia kama wadau walivyodokeza hapo juu, kwa mhitimu wa TIA CSP anaiokota kwa wepesi sana.
Kama kichwa kinavyo jieleza.Naomba kufahamu ni wapi kati ya cbe,t.i.a na iaa naweza pata elimu nzuri katika fani ya ugavi(procurement & supply management) hasa katika kiwango cha post graduate diploma.Kalibuni!
Kwani nikipi ada yake at least?