Kati ya CBE,T.I.A na IAA ni chuo kipi kinaongoza kwa kutoa wahitimu bora wa fani ya ugavi?

Status
Not open for further replies.
Nawashukulu wote mlio changia uzi huu !! nadhani mwaka huu nitakuwa masomoni hasa kwa kozi hii ya ugavi kwani tayali T.I.A wamenipa nafasi hiyo kwa ngazi ya post graduate diploma.Ombi langu ni kwa wale wadau wa kozi hii kama kuna namna yoyote ya kunisaidia materials ya kozi hii,msisite kunipatia kwani natambua umuhimu wa vitu hivyo ili kufanikiwa katika kozi hii hasa ukizingatia sina uzoefu wa kozi yoyote ya biashara.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…