kati ya CDM NA CUF NANI ANADANDIA HOJA YA MWENZAKE

thatha

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
15,340
Reaction score
1,570
Ni mda sasa tunashuhudia malumbano na kashfa nzito nzito kati ya vyama viwili vya upinzani vyenye ushawishi hapa nchini.moja ya hoja ambazo vyama hivyo vimekuwa vikivutana sana kwamba mimi ndio mwenye hoja ila wewe umedandia ni hii ya katiba mpya....
hoja nyingine ni kuhusu muundo wa serikali tatu ndani ya muungano..
jambo lingine lililovuta hisia za jamii hasa wale wanaofuatilia masuala ya kisiasa hapa nchini ni hili la kwenda IKULU KUMWONA RAIS kuzungumzia mustakali wa katiba ya nchi.

my take.....CUF ndio wanaoanzisha hoja zenye kuvuta hisia za jamii lakini chama hicho kinapungukiwa makada wenye mvuto na ushawishi. suala la katiba liliibuliwa na cuf lakini walishindwa kulielezea vizuri kwa wananchi.hata muundo wa serikali tatu ndani ya muungano ni hoja yao ya mda mrefu na ndio iliyompa maalim seif umaarufu.
cdm kutokana na uwezo wa viongozi wake kushawishi pengine na mchango wa kiimani wa watu wa bara umeiwezesha cdm kuteka hoja kirahisi na kujijengea umaarufu.

.........NINI KIFANYIKE ILI TUWE NA CHAMA IMARA CHA UPINZANI CHENYE NATIONAL IDENTIFICATION,SOLIDARITY AND UNITY KUANZIA NYUMBA KUMI HADI TAIFA KAMA CCM.
 
magwanda nao wana hoja? hoja ipi ya maana waliyonayo zaidi ya fujo, maandamano na kususa? mie sijaona hoja, tazama hata humu utwajuwa tu bila kuambiwa, jitazamie mwenyeeeeewe, iiiiiiiiiiiiiiiiii tttttttttii viiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,
 
avoid the ignorant." (Qur'an 7:199)
 
Kikundi cha taarabu bado kinahitaji experts wa mipasho, huko utafaa sana! Jaribu bahati yako.
magwanda nao wana hoja? hoja ipi ya maana waliyonayo zaidi ya fujo, maandamano na kususa? mie sijaona hoja, tazama hata humu utwajuwa tu bila kuambiwa, jitazamie mwenyeeeeewe, iiiiiiiiiiiiiiiiii tttttttttii viiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,
 
Kikundi cha taarabu bado kinahitaji experts wa mipasho, huko utafaa sana! Jaribu bahati yako.

Nimesema, hata dakika tano haijapita, hoja ngumu na haijbiki. Huo ndio ukweli.
 
Ni mda sasa tunashuhudia malumbano na kashfa nzito nzito kati ya vyama viwili vya upinzani vyenye ushawishi hapa nchini.moja ya hoja ambazo vyama hivyo vimekuwa vikivutana sana kwamba mimi ndio mwenye hoja ila wewe umedandia ni hii ya katiba mpya....
hoja nyingine ni kuhusu muundo wa serikali tatu ndani ya muungano..
jambo lingine lililovuta hisia za jamii hasa wale wanaofuatilia masuala ya kisiasa hapa nchini ni hili la kwenda IKULU KUMWONA RAIS kuzungumzia mustakali wa katiba ya nchi.

my take.....CUF ndio wanaoanzisha hoja zenye kuvuta hisia za jamii lakini chama hicho kinapungukiwa makada wenye mvuto na ushawishi. suala la katiba liliibuliwa na cuf lakini walishindwa kulielezea vizuri kwa wananchi.hata muundo wa serikali tatu ndani ya muungano ni hoja yao ya mda mrefu na ndio iliyompa maalim seif umaarufu.
cdm kutokana na uwezo wa viongozi wake kushawishi pengine na mchango wa kiimani wa watu wa bara umeiwezesha cdm kuteka hoja kirahisi na kujijengea umaarufu.

.........NINI KIFANYIKE ILI TUWE NA CHAMA IMARA CHA UPINZANI CHENYE NATIONAL IDENTIFICATION,SOLIDARITY AND UNITY KUANZIA NYUMBA KUMI HADI TAIFA KAMA CCM.

Hoja yako umeiweka kishabiki yaidi
 
Inaelekea cuf ni wengi ktk hao waliopost kwanh badala yajibu hoja mnapost mipasho
 
hivi hii hoja inaleta nafuu ya bei ya unga wa sembe au dona/sukari/mchele nk, pale sokoni?
 
Back
Top Bottom