Ni mda sasa tunashuhudia malumbano na kashfa nzito nzito kati ya vyama viwili vya upinzani vyenye ushawishi hapa nchini.moja ya hoja ambazo vyama hivyo vimekuwa vikivutana sana kwamba mimi ndio mwenye hoja ila wewe umedandia ni hii ya katiba mpya....
hoja nyingine ni kuhusu muundo wa serikali tatu ndani ya muungano..
jambo lingine lililovuta hisia za jamii hasa wale wanaofuatilia masuala ya kisiasa hapa nchini ni hili la kwenda IKULU KUMWONA RAIS kuzungumzia mustakali wa katiba ya nchi.
my take.....CUF ndio wanaoanzisha hoja zenye kuvuta hisia za jamii lakini chama hicho kinapungukiwa makada wenye mvuto na ushawishi. suala la katiba liliibuliwa na cuf lakini walishindwa kulielezea vizuri kwa wananchi.hata muundo wa serikali tatu ndani ya muungano ni hoja yao ya mda mrefu na ndio iliyompa maalim seif umaarufu.
cdm kutokana na uwezo wa viongozi wake kushawishi pengine na mchango wa kiimani wa watu wa bara umeiwezesha cdm kuteka hoja kirahisi na kujijengea umaarufu.
.........NINI KIFANYIKE ILI TUWE NA CHAMA IMARA CHA UPINZANI CHENYE NATIONAL IDENTIFICATION,SOLIDARITY AND UNITY KUANZIA NYUMBA KUMI HADI TAIFA KAMA CCM.