Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Ningelikuwa Mimi I would have framed the question like this:[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Kwa kuangalia malumbano yanayoendelea kwa muda mrefu sana humu JF, kuhusu uimara wa hivi vyama viwili, CHADEMA na CCM, nimeona ni bora tukawa na kura ya maoni kuangalia kwa maoni ya watu wa JF kipi ni chama Imara kwa kufuata mambo yafuatayo.
1. Usahihi wa maamuzi ya vikao vya chama.
.
2. Uwezo wa kujisimamia wakati wa misukosuko ya ndani na nje ya chama.
3. Ushirikishaji wa wanachama wake kwenye shughuli za chama.
4. Mitazamo chanya ya chama kwenye maslahi ya Taifa
5. uelewekaje wa Sera zake kwa wananchi.
3. Chama kuaminika kama kinaweza kuendesha nchi kiufanisi.
Wewe ndio mpuuzi mkubwa, watoto wa hao uliowataja wapo viwanja huko ughaibuni wanapiga mzigo, hawa wa CCM wanaigeuza nchi kuwa ya kifalme, soma hili, kuna family ina ex-president na 2 members of parliament! Lushoto ubunge wanaachiana ukoo mmoja, Namtumbo, Dodoma vijijini list ni ndefu mno, endelea kuwa zuzuMbowe na Lisu watoto wao wote ni raia wa Marekani!!
Alafu wanataka watoto wa wenzao waandamane ? Ujinga mtupu.
Makonda alikosa hii nafasi ya mtoto wake azaliwe Marekani.Mbowe na Lisu watoto wao wote ni raia wa Marekani!!
Halafu wanataka watoto wa wenzao waandamane? Ujinga mtupu.