Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kwa kuangalia malumbano yanayoendelea kwa muda mrefu sana humu JF, kuhusu uimara wa hivi vyama viwili, CHADEMA na CCM, nimeona ni bora tukawa na kura ya maoni kuangalia kwa maoni ya watu wa JF kipi ni chama Imara kwa kufuata mambo yafuatayo.
1. Usahihi wa maamuzi ya vikao vya chama.
2. Uwezo wa kujisimamia wakati wa misukosuko ya ndani na nje ya chama.
3. Ushirikishaji wa wanachama wake kwenye shughuli za chama.
4. Mitazamo chanya ya chama kwenye maslahi ya Taifa
5. uelewekaje wa Sera zake kwa wananchi.
6. Chama kuaminika kama kinaweza kuendesha nchi kiufanisi.