msi mu under rate chidi hivo,,..chidi at his peak alikua ni hatari kijana ulikua unafwatilia mziki kweli 2006_2012 ,,..tuzo zote zake,,freestyle alikua anatisha..ili utoke lazma ufanye nae ngoma..madawa yamepoteza kipaji kikubwa sana pale..nakuambia tena chidi at his peak alikua hatariNgwair ni konyo dingii.
Watu wakaskize tena speed 120 ilemsi mu under rate chidi hivo,,..chidi at his peak alikua ni hatari kijana ulikua unafwatilia mziki kweli 2006_2012 ,,..tuzo zote zake,,freestyle alikua anatisha..ili utoke lazma ufanye nae ngoma..madawa yamepoteza kipaji kikubwa sana pale..nakuambia tena chidi at his peak alikua hatari
Alikua hatar kwenye nini ..hapa tunazungumzia wakali wa free style ...chidi n mkali wa Ku flow ...na ana pumzi ya kutosha ...ila kwa upande wa free style simuwekimsi mu under rate chidi hivo,,..chidi at his peak alikua ni hatari kijana ulikua unafwatilia mziki kweli 2006_2012 ,,..tuzo zote zake,,freestyle alikua anatisha..ili utoke lazma ufanye nae ngoma..madawa yamepoteza kipaji kikubwa sana pale..nakuambia tena chidi at his peak alikua hatari
Hiki ndo nilichotakq kuandika mara baada ya kuona tu headingusimfananishe Ngwea na vitu vya kijinga,,,,,