Kati ya Chidi Benz na Marehemu Ngwea nani mkali wa freestyle?

Overall ngwair alikua best na hajawai kutokea anaemkaribia ...tatizo wabongo wengi hata freestyle hawajui n nn ...mtu km chidibenz nkashangaa watu wanavo mcategorize kwenye watu wanaojua ku free style wakat akiwa anafanya hzo freestyle hata haelewek coz anatamka Hadi maneno ambayo hayana sense yoyote tofaut na Albert ambaye alikua anafanya freestyle na unamuelewa anachozungumza ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chid benz zogo tupu

Back
Top Bottom