Kati ya Chidi Benz na Marehemu Ngwea nani mkali wa freestyle?

Chiid kwenye jukwaa ,jamaa ana upepo/pumzi,hamna msanii anayemfikia wa hip hop kwa uwezo wa kupiga live.
 
Ngwair na chid benz wote kwa nyakati zao they did well. Lakini ngwair alikuwa mkali zaidi kwa upande wangu. Alikuwa anaflow nzuri sana. Aidha, alikuwa na uwezo wa kuimba pia. R.i.p ngwea.
 
Alikua hatar kwenye nini ..hapa tunazungumzia wakali wa free style ...chidi n mkali wa Ku flow ...na ana pumzi ya kutosha ...ila kwa upande wa free style simuweki

From profile picture to proper future
ndo maana nikauliza hivi mlikua mnamfwatilia huyu mtu on his peak,,...alikua ana freestyle vbya mnoooo..,,kumbuka enz za clip ile ana rekodiwa na p funk ana freestyle studio do you remember,,hata hilo shindano lililofanyika bills ngwea na chidi ,,watu wanpa chidi crown ,,..chidi on his days alikua kwenye peak ya pekee ake unless uwe ulikua ufwatilii mziki kipindi kile unaeza bishana na Mimi..sio freestyle sio ngoma kali sio show alikua kwenye dunia ya pekee ake
 
Ngwair ana flow tamu..sema kweny ile speed 120 kichwa kilimuuma [emoji3]

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
..ushaambiwa usiyaguse maji kama huezi kuogelea n ofkoz mi ndo mi n hatuezi kua pair so nageuka mac regan nawaambia endelea..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahaahaahaaa hivi haipo clip ya hilo shindano LA freestyle ya ngwair na chidi

From profile picture to proper future
 
Mm shabiki mzuri wa ngwea ila kwa freestyle chid ni hatareeeee.

Kuna siku alienda pale planet bongo kwenye zle dkk10 za kuchana. Jamaa alitema vina hatari, yaan kama vle kaandika af kameza. Na kuvuta kote madawa lkn brain capacity yake ktk freestyle haijapungua(This proves real talent)
 
Sasa ile ya dakika kumi za maangamizi chidi c alifanya upuuzi tuu coz alikua anaongea vitu havieleweki ....au hujaskiliza umehadithiwa tuu

From profile picture to proper future
 
Sasa ile ya dakika kumi za maangamizi chidi c alifanya upuuzi tuu coz alikua anaongea vitu havieleweki ....au hujaskiliza umehadithiwa tuu

From profile picture to proper future
Nmesikiliza sana mkuu, ila usiseme havieleweki, sema ww ndio haukuvielewa
 
Chid hagusi kwa Ngwea kwenye upande wa freestyle, watu ambao wangeweza kubattle na Ngwea kwenye upande huo ni Godzilla na Nikki Mbishi, ila Ngwea anapewa heshima zaidi kwavile yeye ndio kama alihamasisha freestyle bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Albert ni balaa.. Benz namkubali sana hata aache kuimba kabisa .. alinitoa machozi alipopotea kwenye madawa.
Ila Ngwear daah ni top wao wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…