N namtombe Member Joined Jan 8, 2016 Posts 53 Reaction score 14 Feb 20, 2016 #1 Nimekua nikifuatia station hizi mbil E FM na Clouds katika vipindi vya Michezo. Kunatokea ubishani mtaani ni wapi wakali wanaofunika kwa kuchambua michezo na kuhoji makocha viongozi wa timu pia wa TFF? Wewe unaona nani zaidi?
Nimekua nikifuatia station hizi mbil E FM na Clouds katika vipindi vya Michezo. Kunatokea ubishani mtaani ni wapi wakali wanaofunika kwa kuchambua michezo na kuhoji makocha viongozi wa timu pia wa TFF? Wewe unaona nani zaidi?
Jindal Singh JF-Expert Member Joined Sep 9, 2015 Posts 1,857 Reaction score 1,538 Feb 20, 2016 #2 Link tafadhari ha! ha! ha!
Imposibo_ JF-Expert Member Joined Feb 1, 2016 Posts 2,746 Reaction score 2,121 Feb 20, 2016 #3 Clauds ndo nini
King klax JF-Expert Member Joined Jul 10, 2015 Posts 4,307 Reaction score 2,754 Feb 20, 2016 #4 Napita
pleo JF-Expert Member Joined Jun 20, 2013 Posts 3,444 Reaction score 2,737 Feb 20, 2016 #5 naomba frequency za clauds na mimi nisikilize!
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,852 Feb 20, 2016 #6 Wanasikika kutoka wapi hadi wapi.......?......::
Munyanka JF-Expert Member Joined Sep 21, 2015 Posts 233 Reaction score 80 Feb 20, 2016 #7 EFM hataree
BigBro JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 3,585 Reaction score 11,601 Feb 20, 2016 #8 Wote wanajitahidi
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,320 Feb 20, 2016 #9 Shuka linafunika wote
mpenda pombe JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 1,406 Reaction score 711 Feb 20, 2016 #10 Oscar oscar na kitenge hatariiiii + Maestro
N namtombe Member Joined Jan 8, 2016 Posts 53 Reaction score 14 Feb 20, 2016 Thread starter #11 Vp shafdauda mzee wa kukariri mkuu
njiwa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 13,144 Reaction score 6,942 Feb 20, 2016 #14 shaf dauda hana jipya zaidi ku copy habari toka daily mail na kuziongea redioni... kama ni mtu wa kufuatilia habari online utaona dauda akirudia zilezile... at list basi angekuwa anaongeza yake .. yeye ana copy kama ilivyo
shaf dauda hana jipya zaidi ku copy habari toka daily mail na kuziongea redioni... kama ni mtu wa kufuatilia habari online utaona dauda akirudia zilezile... at list basi angekuwa anaongeza yake .. yeye ana copy kama ilivyo
DATABASEE JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 588 Reaction score 585 Feb 20, 2016 #15 Clouds wanakipindi kimoja tu cha sports extra,nacho sioo kiivooo!!!vilivyobaki ni Utumbo tu!!!
N namtombe Member Joined Jan 8, 2016 Posts 53 Reaction score 14 Feb 20, 2016 Thread starter #16 DATABASEE said: Clouds wanakipindi kimoja tu cha sports extra,nacho sioo kiivooo!!!vilivyobaki ni Utumbo tu!!! Click to expand... Haaaa mkuu ata jahaz? Hata power breakfast
DATABASEE said: Clouds wanakipindi kimoja tu cha sports extra,nacho sioo kiivooo!!!vilivyobaki ni Utumbo tu!!! Click to expand... Haaaa mkuu ata jahaz? Hata power breakfast
DATABASEE JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 588 Reaction score 585 Feb 20, 2016 #17 We unaona akina kibonde wanafanya nn zaid ya umbeea
DATABASEE JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 588 Reaction score 585 Feb 20, 2016 #18 Et station namba one,kwa lipi hasa???
bint white Senior Member Joined Oct 4, 2015 Posts 168 Reaction score 323 Feb 20, 2016 #19 Efm habar ya mjin
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Feb 20, 2016 #20 Efm kipindi Chao kipo saa ngapi??