Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Clauds ndo nini
Wanasikika kutoka wapi hadi wapi.......?......::
Nimekua nikifuatia station hizi mbil E FM na Clouds katika vipindi vya Michezo.
Kunatokea ubishani mtaani ni wapi wakali wanaofunika kwa kuchambua michezo na kuhoji makocha viongozi wa timu pia wa TFF?
Wewe unaona nani zaidi?
Ndugu na hakika huko ulipo eFm haisikiki, kuwa mpole.Azam fm na RFA ndio kila kitu, hao wengine wasindikizaji tu
E.F.M ndio mpango mzimaNimekua nikifuatia station hizi mbil E FM na Clouds katika vipindi vya Michezo.
Kunatokea ubishani mtaani ni wapi wakali wanaofunika kwa kuchambua michezo na kuhoji makocha viongozi wa timu pia wa TFF?
Wewe unaona nani zaidi?