Kati ya daraja A, B na C, ni lipi linaonekana kuwa imara zaidi?

Kati ya daraja A, B na C, ni lipi linaonekana kuwa imara zaidi?

  • Daraja A

    Votes: 0 0.0%
  • Daraja B

    Votes: 0 0.0%
  • Daraja C

    Votes: 5 100.0%

  • Total voters
    5
Sie tuliesomea critical thinking tunacomment wapi?

Hapo daraja A ndio imara zaidi.
Ukihusisha mambo ya Newton.
 
Hiyo A ndiyo mengi sana tena nahisi ni ya mkoloni.

Ukitoka Magu kwenda Mahaha/Shishani kuna moja Mto Simiyu huo au tawi lake tena ni mbao zimetandazwa kwenye hivyo vyuma na ni daraja refu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…