Kati ya Diamond na Ali Kiba nani kamchangia Lissu!

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Hawa ni watu maarufu sana miongoni mwa vijana, na kwa nchi zenye wanamuziki mashuhuri huwa mambo ya kujitolea na kufanya shughuli za hisani huwasogeza wasanii karibu na mashabiki zao.

Lissu ni mmoja wa Ma - celebrity wa Tanzania na Diamond na Ali Kiba nao kwa upande wa sanaa ni kama alivyo Lissu kwenye siasa. Sasa hawa wawili kuna mmojawapo kajitoa kumchangia Celebrity mwenzao?
 
Huyu lissu ni mungu wa chadema!!?? Wajinga hawataisha nchi hii;lissu lissu lissu,lissu.alikufa baba wa taifa sembuse na huyu kikaragosi wenu.
Unawashwa nini watu kumchangia lisu huna waache wanaomchangia wewe Si umetumwa acha hizo
 
Kujua kama wamechanga au hawajachanga itakusaidia nini?? Nenda kalime usife njaa acha kuleta mambo yasiyo na maana mitandaoni pia kuchanga ni hiari ya mtu
 
Wcb wanamuogopa paul makonda ndio maana hawajachanga na hata kama wamechanga itakuwa kwa siri kubwa sana
 
Humu mlikesha kumpigia promo Kiba na kumpa views kibao. Mwambieni awalipe fadhila vijana wa Ufipa.
 
Humu mlikesha kumpigia promo Kiba na kumpa views kibao. Mwambieni awalipe fadhila vijana wa Ufipa.
Ali Kiba alipigiwa Promo na vijana wenzake wanaomkubali. Mimi hata ukinipa bilioni moja niandike hata mstari mmoja tu wa kwenye hizo nyimbo zao siwezi kwa kuwa sizijui.

Halafu kama ni mambo ya chama hao wote ni CCM!
 
Reactions: Pep
Huyu lissu ni mungu wa chadema!!?? Wajinga hawataisha nchi hii;lissu lissu lissu,lissu.alikufa baba wa taifa sembuse na huyu kikaragosi wenu.
KOmaha hanithi we, Unataja tu jina LA Mungu kishabiki na Bila aibu ili na ww uonekane umeongea ukweli ni kwamba lissu ni akili kubwa kulko mwenyekiti wenu wa Chama lakini si kutuambia ni Mungu wetu mwehu mkubwa ww na huyo Mungu ulomtaja kizembe akakunyooshe ww na kizazi chako shetani we.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…