Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Hawa ni watu maarufu sana miongoni mwa vijana, na kwa nchi zenye wanamuziki mashuhuri huwa mambo ya kujitolea na kufanya shughuli za hisani huwasogeza wasanii karibu na mashabiki zao.
Lissu ni mmoja wa Ma - celebrity wa Tanzania na Diamond na Ali Kiba nao kwa upande wa sanaa ni kama alivyo Lissu kwenye siasa. Sasa hawa wawili kuna mmojawapo kajitoa kumchangia Celebrity mwenzao?