emmanuel mruma
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,778
- 1,718
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mweee hurumaa jamanii hadi umemuita mtu kikaragosi heheh hasira hasara sasa kama ni mungu wao ww inakuuma nnHuyu lissu ni mungu wa chadema!!?? Wajinga hawataisha nchi hii;lissu lissu lissu,lissu.alikufa baba wa taifa sembuse na huyu kikaragosi wenu.
Huu unao ongea ni upumbavu, binadamu gani ambaye hana huruma kwa binadamu mwenzie, hivi ungekuwa ww au babako kafanyiwa hivyo ungeongea rubbish hivyo?Huyu lissu ni mungu wa chadema!!?? Wajinga hawataisha nchi hii;lissu lissu lissu,lissu.alikufa baba wa taifa sembuse na huyu kikaragosi wenu.
Maneno mengine weka akiba usimalize yote.Huyu lissu ni mungu wa chadema!!?? Wajinga hawataisha nchi hii;lissu lissu lissu,lissu.alikufa baba wa taifa sembuse na huyu kikaragosi wenu.
Mkuu bilion moja unaijua unaiskia[emoji3] [emoji2] [emoji2]Ali Kiba alipigiwa Promo na vijana wenzake wanaomkubali. Mimi hata ukinipa bilioni moja niandike hata mstari mmoja tu wa kwenye hizo nyimbo zao siwezi kwa kuwa sizijui.
Halafu kama ni mambo ya chama hao wote ni CCM!
Celebrity wa bavichaLissu ni Celebrity taka usitake. Na hapa hoja si Lissu bali ma-celebrity wenzake Ali Kiba na Diamond kujua kama wamemchangia.