Kati ya Diamond na Ali Kiba nani kamchangia Lissu!

Kati ya Diamond na Ali Kiba nani kamchangia Lissu!

Huyu lissu ni mungu wa chadema!!?? Wajinga hawataisha nchi hii;lissu lissu lissu,lissu.alikufa baba wa taifa sembuse na huyu kikaragosi wenu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mweee hurumaa jamanii hadi umemuita mtu kikaragosi heheh hasira hasara sasa kama ni mungu wao ww inakuuma nn
 
Kwani mbona hatujaona majina ya walio mchangia au uchangiaji wa lissu ulikuaje jaman maaan si ilikua unatuma bank au kwa simu sasa tutajuaje
 
Huyu lissu ni mungu wa chadema!!?? Wajinga hawataisha nchi hii;lissu lissu lissu,lissu.alikufa baba wa taifa sembuse na huyu kikaragosi wenu.
Huu unao ongea ni upumbavu, binadamu gani ambaye hana huruma kwa binadamu mwenzie, hivi ungekuwa ww au babako kafanyiwa hivyo ungeongea rubbish hivyo?
Huna akili hata kidogo, hebu acha ushabiki wa vyama ingiza utu!!!
 
Ali Kiba alipigiwa Promo na vijana wenzake wanaomkubali. Mimi hata ukinipa bilioni moja niandike hata mstari mmoja tu wa kwenye hizo nyimbo zao siwezi kwa kuwa sizijui.

Halafu kama ni mambo ya chama hao wote ni CCM!
Mkuu bilion moja unaijua unaiskia[emoji3] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom