Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humu mlikesha kumpigia promo Kiba na kumpa views kibao. Mwambieni awalipe fadhila vijana wa Ufipa.[/QUOTE
HILI TULILUSEMA SISI,MUZIKI NA SIASA VITU VIWILI TOFAUTI, ILA KWA AKILI ZA MANGE NA CHUKI ZAKE KWA DIAMOND, AKAAMINISHA YULE NI CCM NA KIBA NI UKAWA,AFU ANASAHAU MMOJA ANAUTU KULIKO MWENZIE NA NI MUDA SANA ANAJULIKANAAli Kiba alipigiwa Promo na vijana wenzake wanaomkubali. Mimi hata ukinipa bilioni moja niandike hata mstari mmoja tu wa kwenye hizo nyimbo zao siwezi kwa kuwa sizijui.
Halafu kama ni mambo ya chama hao wote ni CCM!
HESHIMA WALOPATA WALE MADR,HAINA MFANO KABISAADiamond amegeuzwa mama ntilie na Bashite kuna vituko tz
Na wanaccm mtazkwa wazma wazmaHuyu lissu ni mungu wa chadema!!?? Wajinga hawataisha nchi hii;lissu lissu lissu,lissu.alikufa baba wa taifa sembuse na huyu kikaragosi wenu.
Alipambwa SLAA na kupambika, mwishowe akaishia kuitwa DK MIHOGO.Huyu lissu ni mungu wa chadema!!?? Wajinga hawataisha nchi hii;lissu lissu lissu,lissu.alikufa baba wa taifa sembuse na huyu kikaragosi wenu.
Duuuh ila watu mnatisha kwa maneno daaahWote hawana hela... mmoja anauza karanga .... mwingine anauza mifagio
Unawashwa sehem za nyuma weweHuyu lissu ni mungu wa chadema!!?? Wajinga hawataisha nchi hii;lissu lissu lissu,lissu.alikufa baba wa taifa sembuse na huyu kikaragosi wenu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wote hawana hela... mmoja anauza karanga .... mwingine anauza mifagio
Uhai wa Lisu una thamani ya watu 1000 wanaovaa magwanda ya kijani,Huyu lissu ni mungu wa chadema!!?? Wajinga hawataisha nchi hii;lissu lissu lissu,lissu.alikufa baba wa taifa sembuse na huyu kikaragosi wenu.