Kati ya Diploma ya IT/Computer aScience Na Tourism Tour Guider/ Travel & Tour Operator

Mpwa hiyo paragraph ya kwanza, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
vigezo vipo..Nna Chet cha It NT4.na kuhs vegzo vya tourism nnavyo pia.Nna Dv 27 Bios G Histry English zot hzo Pass na credt baadh
Comp Science si nasikia uwe umesoma Science au? Math iwe inapanda
 
Comp Science si nasikia uwe umesoma Science au? Math iwe inapanda
Hapn mim nna certfct tyar sio km nd ntaka kuanza moja..ila nlistop tu kutkn na mamb ya kiuchum ndio skuendlea na DP
 
Hapn mim nna certfct tyar sio km nd ntaka kuanza moja..ila nlistop tu kutkn na mamb ya kiuchum ndio skuendlea na DP
Utaiweza kweli comp Science kama hata kuandika tu kunakushinda certfct ndio nini sasa?
 
Utaiweza kweli comp Science kama hata kuandika tu kunakushinda certfct ndio nini sasa?
Mkuu kuandka certfct nmeandk inshot tu..laknvzr umeelewa nmemnsha nn..maan nmeon haina hya ya kuek nots ndef wakt nawez tumia kifup na mtu akaelewa vzr.nmtumia lugha ya mkato inayo eleweka kiongoz.
 
Utaiweza kweli comp Science kama hata kuandika tu kunakushinda certfct ndio nini sasa?
Kam ww ulivyotumi "Comp Science" badala ya Computer" ila point nkaifahm nn unazungumzia.
Maan Comp haijakamilika pia.inweza ikaleta maan nyng...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…