Kati ya Dokta Shika wa Ununuzi wa Nyumba na Pierre wa Taifa Stars nani ni Msanii zaidi

Kati ya Dokta Shika wa Ununuzi wa Nyumba na Pierre wa Taifa Stars nani ni Msanii zaidi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Wote nawaona ni Wajanja Wajanja na wanaojua kucheza na wakati na akili za Watanzania.

Karibuni.
 
Dr.Shika alitangazwa hadi ITV (Habari za mwanzo kabisa), na kwenye channel ya Millard Ayo habari yake ni miongoni mwa videos zenye views nyingi tangu aanzishe ile channel hiyo U-Tube (aliteka attention za watz kwa muda mfupi), kitu ambacho Piere atabaki kukiota tu japo atabaki kileleni kama mlima Kilimanjaro [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]. Halafu mmemsahau nduguyetu Nabii Tito aliishiaga wapi na wake zake?[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mim ni noma, kuandika jf wakati sijulikani!

wakati ukuta.
 
Back
Top Bottom