Kati ya DP World na TPA nani maslahi mazuri kuzidi mwenzake?

Kati ya DP World na TPA nani maslahi mazuri kuzidi mwenzake?

Zegota

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2020
Posts
341
Reaction score
719
Habari zenu wakuu.

Ningependa kujua Kati ya hizi taasisi mbili nani yuko juu Kwa mwenzake kwenye maslahi ya wafanyakazi.
 
Hakuna mtu anaejua maslahi ya Hawa jamaa
 
Hakuna anaejua DP world wanalipwaje?
 
Kwa ufupi, ukiwa mzembe na mwizi, ajiriwa na serikali, ukiwa mchapa kazi na siyo mwizi, ajiriwa na shirika binafsi.
 
Kwa ufupi, ukiwa mzembe na mwizi, ajiriwa na serikali, ukiwa mchapa kazi na siyo mwizi, ajiriwa na shirika binafsi.
Umeona Kuna mwizi hapa. Nimeuliza nani analipa maslahi mazuri?
 
Umeona Kuna mwizi hapa. Nimeuliza nani analipa maslahi mazuri?
Nisome tena.

Swai halikuwa nani "analipa", kajisome upya. Swali ni "maslahi".

Sikujibu kumlenga yeyote, kama si mwizi nenda shirika binafsi.
 
Back
Top Bottom