Kati ya Equity Bank na Exim Bank nani ana afadhali katika huduma na makato?

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Wadau kwema,

Nimekuwa nikitumia bank moja hivi sitoitaja jina lake, lakini nimechoshwa na makato yake ya ajabu ajabu.

Sasa nimefikia maamuzi ya kubadili mtoa huduma. Je, kati ya hizo bank mbili yaani Equity na Exim ni yupi ana huduma nzuri in terms of makato madogo, zero maintain fee, deposit+ withdraw fee?

Umma wa Jamii Forums naomba msaada wenu.
 
Equity ni nzuri kwanza saiz wanatoa huduma hadi saa 12 jioni jumatatu hadi jumamosi na jumapili hadi saa saba mchana
Pia hawana makato wao wanakukata ukiwa unatoa tu kwa cheki ni 4,000 tu hata ukitoa milioni 10 na millioni 20 ni 9,000/
 
CRDB ni wahuni makato yao ni balaaa wanakata hadi 30,000 kwa milioni 20
 
Equity ni nzuri kwanza saiz wanatoa huduma hadi saa 12 jioni jumatatu hadi jumamosi na jumapili hadi saa saba mchana
Pia hawana makato wao wanakukata ukiwa unatoa tu kwa cheki ni 4,000 tu hata ukitoa milioni 10 na millioni 20 ni 9,000/
Crdb nishawahi toa 16M wakanikata 16k yaani sijui walipata tamaa ya kukata hela nyingi. Ila absa wao waanakata nadhani mpaka 25M kitu Kama <6k
 
Equity ni nzuri kwanza saiz wanatoa huduma hadi saa 12 jioni jumatatu hadi jumamosi na jumapili hadi saa saba mchana
Pia hawana makato wao wanakukata ukiwa unatoa tu kwa cheki ni 4,000 tu hata ukitoa milioni 10 na millioni 20 ni 9,000/
Mkuu kama una chart za makato yao sio mbaya uka share walau ka picha please ..in case U have it

Alafu, mfano nime safir nipo.zangu mkoani huko hakuna Mawakala wa equity bado si naweza ku pata huduma ya kutoa pesa kupitia sim banking ?
 
Kwa 2022..
 
Attachments

Wadau kwema,

Nimekuwa nikitumia bank moja hivi sitoitaja jina lake, lakini nimechoshwa na makato yake ya ajabu ajabu.

Sasa nimefikia maamuzi ya kubadili mtoa huduma. Je, kati ya hizo bank mbili yaani Equity na Exim ni yupi ana huduma nzuri in terms of makato madogo, zero maintain fee, deposit+ withdraw fee?

Umma wa Jamii Forums naomba msaada wenu.
Equity
 
Back
Top Bottom