luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
CRDB broo ni wasanii tu walikuwa na ile kampeni yao ya mkopo riba 13% ndgu jana nimeenda wamebadilika wanasema 16% eti imebadilika tar 6 mwezi hawa watu ni wajanjajanja tu.Na vipi Equity VS CRDB??
Dah shida tupu mbona!CRDB broo ni wasanii tu walikuwa na ile kampeni yao ya mkopo riba 13% ndgu jana nimeenda wamebadilika wanasema 16% eti imebadilika tar 6 mwezi hawa watu ni wajanjajanja tu.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Walichoongeza ni miaka ya kuridisha mkopo toka 7 hadi 9Dah shida tupu mbona!
Hiyo equity hamna kitu, bank ni kujitanua. Equity ukiwa tu nje ya dar hamna bank. Dar penyewe ipo sehemu chache tuWadau kwema,
Nimekuwa nikitumia bank moja hivi sitoitaja jina lake, lakini nimechoshwa na makato yake ya ajabu ajabu...
Lkn si kuna izi Sim Banking mtalaam au weye hupendezwi na hizi huduma za bank mtandaoHiyo equity hamna kitu, bank ni kujitanua. Equity ukiwa tu nje ya dar hamna bank. Dar penyewe ipo sehemu chache tu
Maana yake ukikopa milioni 100 utalipa zaidi ya milioni 244 kwa miaka 9Walichoongeza ni miaka ya kuridisha mkopo toka 7 hadi 9
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
CRDB ni wahuni makato yao ni balaaa wanakata hadi 30,000 kwa milioni 20Equity ni nzuri kwanza saiz wanatoa huduma hadi saa 12 jioni jumatatu hadi jumamosi na jumapili hadi saa saba mchana
Pia hawana makato wao wanakukata ukiwa unatoa tu kwa cheki ni 4,000 tu hata ukitoa milioni 10 na millioni 20 ni 9,000/
Crdb nishawahi toa 16M wakanikata 16k yaani sijui walipata tamaa ya kukata hela nyingi. Ila absa wao waanakata nadhani mpaka 25M kitu Kama <6kEquity ni nzuri kwanza saiz wanatoa huduma hadi saa 12 jioni jumatatu hadi jumamosi na jumapili hadi saa saba mchana
Pia hawana makato wao wanakukata ukiwa unatoa tu kwa cheki ni 4,000 tu hata ukitoa milioni 10 na millioni 20 ni 9,000/
Mkuu kama una chart za makato yao sio mbaya uka share walau ka picha please ..in case U have itEquity ni nzuri kwanza saiz wanatoa huduma hadi saa 12 jioni jumatatu hadi jumamosi na jumapili hadi saa saba mchana
Pia hawana makato wao wanakukata ukiwa unatoa tu kwa cheki ni 4,000 tu hata ukitoa milioni 10 na millioni 20 ni 9,000/
Mkuu kama una chart za makato yao sio mbaya uka share walau ka picha please ..in case U have it
Alafu, mfano nime safir nipo.zangu mkoani huko hakuna Mawakala wa equity bado si naweza ku pata huduma ya kutoa pesa kupitia sim banking ?
EquityWadau kwema,
Nimekuwa nikitumia bank moja hivi sitoitaja jina lake, lakini nimechoshwa na makato yake ya ajabu ajabu.
Sasa nimefikia maamuzi ya kubadili mtoa huduma. Je, kati ya hizo bank mbili yaani Equity na Exim ni yupi ana huduma nzuri in terms of makato madogo, zero maintain fee, deposit+ withdraw fee?
Umma wa Jamii Forums naomba msaada wenu.