*150*07#Mkuu kama una chart za makato yao sio mbaya uka share walau ka picha please ..in case U have it
Alafu, mfano nime safir nipo.zangu mkoani huko hakuna Mawakala wa equity bado si naweza ku pata huduma ya kutoa pesa kupitia sim banking ?
Maana yake ukikopa milioni 100 utalipa zaidi ya milioni 244 kwa miaka 9
Yaani unatumia jina la bandia Bado unaogopa kuitaja hyo Benkii... Duu hatr sanaWadau kwema,
Nimekuwa nikitumia bank moja hivi sitoitaja jina lake, lakini nimechoshwa na makato yake ya ajabu ajabu.
Sasa nimefikia maamuzi ya kubadili mtoa huduma. Je, kati ya hizo bank mbili yaani Equity na Exim ni yupi ana huduma nzuri in terms of makato madogo, zero maintain fee, deposit+ withdraw fee?
Umma wa Jamii Forums naomba msaada wenu.
Hizi hapa sms nazopataMkuu kama una chart za makato yao sio mbaya uka share walau ka picha please ..in case U have it
Alafu, mfano nime safir nipo.zangu mkoani huko hakuna Mawakala wa equity bado si naweza ku pata huduma ya kutoa pesa kupitia sim banking ?
Bila shaka iyo ni.personal current account
Chart sina,Mkuu kama una chart za makato yao sio mbaya uka share walau ka picha please ..in case U have it
Alafu, mfano nime safir nipo.zangu mkoani huko hakuna Mawakala wa equity bado si naweza ku pata huduma ya kutoa pesa kupitia sim banking ?
Ni ya biashara.!Bila shaka iyo ni.personal current account