1…. Hiyo ni fast five1. Ile wanaiba hela kwenye makasha ya bank wakiwa na zile Muscle Cars
2. Ile yupo na Ong Bak
Kweli hata mimi siichoki hii classicFAST FIVE 5 Hii kwangu ndo itabaki my favourite katika series zote za fast & Furious
Fast Jet ni nzuri zaidiJamaa wamejitahidi kutupatia classics throughout the years:
The Fast and the Furious (2001)
2 Fast 2 Furious (2003)
The Fast and the Furious: Tokyo Drift (2006)
Fast & Furious (2009)
Fast Five (2011)
Fast & Furious 6 (2013)
Furious 7 (2015)
The Fate of the Furious (2017)
Fast & Furious Presents: Hobbs & Shaw (2019)
F9 (2021)
Fast X (2023)
Upande wangu 3 bora kwangu ni:
1: Fast Five
2: Tokyo Drift
3: The fast and furious part 1
Ile wanayoiba magari kwenye Treni ndio hii?1…. Hiyo ni fast five
Hiyo hiyooIle wanayoiba magari kwenye Treni ndio hii?
Niliiona zamani enzi zile tunanunua CD zinazotembezwa na wamachinga.