steve emile
JF-Expert Member
- Nov 22, 2020
- 231
- 585
- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IyoJamani kuna gari inaitwa Bugatt chiron.mwenye picha Aturushie hilo bei Yake ukitamka hakuna mbongo atakuelewa
Kweli inatisha
Zimewekwa mikeka ya hatar saiz kama ulipita mwaka 2018/19 hutaamini saiz buggat inachapa mwendo uleuleBarabara zetu za Kwa mtogole-kwa tumbo itakuaje au ndiyo hivyo kumekucha kutoana akili?
Gari hizi hazijawahi nivutia japo zinauzwa mabilion na zina nguvu haswa ila aheri nikae kwenye Nissan Nismo GTR au Toyota GT86 au Lexus LFA na RC-F
DSG hata ka Golf GTI kanayo mkuu.mkuu zote zimeiva maana zote zina technology ya DSG sequential & Dual clutch automated manual
FactualNa LFA zilitengenezwa 500 tu dunia nzima.
[emoji3][emoji3]Una ulizia kuhusu Ferrari & Bugatti halafu unaposti Mclaren, Lamborghini nk [emoji2363][emoji23]
Aisee umeongea mawazo yangu hizi gari haziwahi kunivuti hata kidogo, naona kamamitoi toi tuGari hizi hazijawahi nivutia japo zinauzwa mabilion na zina nguvu haswa ila aheri nikae kwenye Nissan Nismo GTR au Toyota GT86 au Lexus LFA na RC-F
Gari hizi hazijawahi nivutia japo zinauzwa mabilion na zina nguvu haswa ila aheri nikae kwenye Nissan Nismo GTR au Toyota GT86 au Lexus LFA na RC-F