Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Hamna biashara ambayo haina risk. Namna Bora kabisa ya kupunguza risk kwenye biashara ni kupata elimu, maarifa na taarifa sahihi kuhusiana na biashara unayotaka kuifanya.
Kuna namna nyingi za kujifunza.
Waweza kujifunza kutokana na makosa ya waliotangulia, hii ni njia nzuri sana kwa kujifunza.
Pia unaweza kujifunza kutoka kwa walio fanikiwa.
Hapa pana kudanganywa kwingi.
JamiiForums pamesheheni wajuzi.
Fuatilia uzi huu, hutotoka kama ulivyoingia