Kati ya Fuso Tandamu na Scania Kipisi ipi ni gari nzuri kwa mtu anayeiingia kwa mara ya kwanza kwenye biashara ya usafirishaji?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Hamna biashara ambayo haina risk. Namna Bora kabisa ya kupunguza risk kwenye biashara ni kupata elimu, maarifa na taarifa sahihi kuhusiana na biashara unayotaka kuifanya.

Kuna namna nyingi za kujifunza.
Waweza kujifunza kutokana na makosa ya waliotangulia, hii ni njia nzuri sana kwa kujifunza.
Pia unaweza kujifunza kutoka kwa walio fanikiwa.

Hapa pana kudanganywa kwingi.
JamiiForums pamesheheni wajuzi.
Fuatilia uzi huu, hutotoka kama ulivyoingia
 
Kama ndio unaingia kwenye biashara anza na fuso tandam kwanza japokuwa waliokomaa kibishara wanasema lorry kubwa ina faida kulinganisha na fuso sababu fuso tandam inapakia tani 18-20 tu mwisho wakati lorry inabeba zaidi ya tani 30
 
Nafikiri anza na Fuso ili kuweza kukomaa kwa kuexperience vitu kadha wa kadha ili utakapo fikia levels za Scania usisumbuke sana. Sababu pia hata gharama ya vipuli Scania iko juu sana.

Ukiweza agiza kabisa Japan ila kama ukichukua used hapa basi hakikisha unapata yenye mileage ndogo vinginevyo ni majuto.

NB:Ukitaka kuwin biashara ya usafirishaji kuwa smart kwa kununua gari(haswa ya kuagiza nje) itumie mpaka pale utakapo ona imerudisha mtaji wako kabla haija anza kusumbua uza ile ndiyo itakuwa faida yako then agiza tena, Hivyo hivyo hapo utaipenda hii biashara la sivyo utaichukiana kuanza kuwaza ushirikina.
 
Kama ndio unaingia kwenye biashara anza na fuso tandam kwanza japokuwa waliokomaa kibishara wanasema lorry kubwa ina faida kulinganisha na fuso sababu fuso tandam inapakia tani 18-20 tu mwisho wakati lorry inabeba zaidi ya tani 30
Mwaga cheche mkuu, Moto uwake.
 
Kama ndio unaingia kwenye biashara anza na fuso tandam kwanza japokuwa waliokomaa kibishara wanasema lorry kubwa ina faida kulinganisha na fuso sababu fuso tandam inapakia tani 18-20 tu mwisho wakati lorry inabeba zaidi ya tani 30

Mkuu tandamu ni gari ambayo inauza sana sokoni, kwamaana wateja wake ni wengi sana. Lakini kipisi kipo slow kidogo kwa kujiuza sokoni japo kinadumu sana kwenye issue za matengenezo. Tandam inahitaji ovaollu kila baada ya miezi 6 hadi miezi7
 
Kama unaanza hii biashara nakushauri anza na scania kipisi, na kama roho yako inadunda kila ukiona Fuso basi isiwe tandam.

Utanishukuru baadae
 
Hujui hii biashara aisee usimpotoshe

Kipisi cha scania ni jina tu au kama ingekua miaka 3 iliyopita ingekua nafuu kidogo sio sasa hivi

Kama unaanza hii biashara nakushauri anza na scania kipisi, na kama roho yako inadunda kila ukiona Fuso basi isiwe tandam.

Utanishukuru baadae
 
Kama ndio unaingia kwenye biashara anza na fuso tandam kwanza japokuwa waliokomaa kibishara wanasema lorry kubwa ina faida kulinganisha na fuso sababu fuso tandam inapakia tani 18-20 tu mwisho wakati lorry inabeba zaidi ya tani 30

Lori gani linalobeba Tan 30 mkuu??
Hivi hata unayajua haya magari kweli au truck zote kwako ni lori?

1:Tandam FUSO
2: SuperGreat FUSO/FaW
3:Kipisi
4: Kipisi MENDE
5:Kipisi na mtoto(Pulling)
6: Semi Trailer(Tanker,Skeleton ya Container,Flatbed nk)

7: Semi Trailer na Kidengla(Dangler).... Hii mpya

Ipi hapo ya kubeba Tani 30???

Sio mchezo Tani 30 mkuu TANROADS wanakuangalia tu
 
Hamna biashara ambayo haina risk. Namna Bora kabisa ya kupunguza risk kwenye biashara ni kupata elimu, maarifa na taarifa sahihi kuhusiana na biashara unayotaka kuifanya.

Kuna namna nyingi za kujifunza.
Waweza kujifunza kutokana na makosa ya waliotangulia, hii ni njia nzuri sana kwa kujifunza.
Pia unaweza kujifunza kutoka kwa walio fanikiwa.

Hapa pana kudanganywa kwingi.
JamiiForums pamesheheni wajuzi.
Fuatilia uzi huu, hutotoka kama ulivyoingia

Anza na Fuso TANDAM kama huna uzoefu kabisa anza hata na Fuso ya kawaida tu

Fuatilia huo uzi wameweka link hapo tulichangia mambo mengi sana. Karibu kwenye biashara ya ugonjwa wa moyo😄😄
 
Lori gani linalobeba Tan 30 mkuu??
Hivi hata unayajua haya magari kweli au truck zote kwako ni lori?

1:Tandam FUSO
2: SuperGreat FUSO/FaW
3:Kipisi
4: Kipisi MENDE
5:Kipisi na mtoto(Pulling)
6: Semi Trailer(Tanker,Skeleton ya Container,Flatbed nk)

7: Semi Trailer na Kidengla(Dangler).... Hii mpya

Ipi hapo ya kubeba Tani 30???

Sio mchezo Tani 30 mkuu TANROADS wanakuangalia tu
Nadhani wewe ndio hujamwelewa ..yuko sahihi
 
Duh
Lori gani linalobeba Tan 30 mkuu??
Hivi hata unayajua haya magari kweli au truck zote kwako ni lori?

1:Tandam FUSO
2: SuperGreat FUSO/FaW
3:Kipisi
4: Kipisi MENDE
5:Kipisi na mtoto(Pulling)
6: Semi Trailer(Tanker,Skeleton ya Container,Flatbed nk)

7: Semi Trailer na Kidengla(Dangler).... Hii mpya

Ipi hapo ya kubeba Tani 30???

Sio mchezo Tani 30 mkuu TANROADS wanakuangalia tu
 
nieleweshe labda sijamuelewa with reference to tandam na kipisi( Ndo roli kubwa?)

Na ubebaji wa tan 30

Naweza nikajifunza kitu kipya
Wewe umejifungia kwenye kipisi na Tandam.. yeye hajajifungia humo..anaposema lorry kubwa that means ni kama kichanja, pulling etc
 
wewe umejifungia kwenye kipisi na Tandam.. yeye hajajifungia humo..anaposema lorry kubwa that means ni kama kichanja, pulling etc
Mimi au mada??
Mleta uzi kauliza hivyo ndo maana nilipoona Tan 30 nikamuuliza aniambie anamaana gan kwamba Kipisi ndo kina beba au je anaongelea trela hizo nimezilisti hapo

Kwakua watu wengi wageni wa haya magari huwa wanadhani kipisi kwakua ni scania na kina bodi kubwa na muonekano then kinabeba kuliko tandam. Hapo ndo waswas wangu nilitaka anieleze vizuri

Nilidhani kuna kipya sijaelewa...... basi comment yangu inabaki kama ilivyo mpaka atakaponijibu
 
Kuna mada na kuna comment.. comment inaweza ikanenda ndani zaid ya kuliko mada kuu, we rudi kusoma upya utaelewa vizuri.. jamaa alishauri kama n new comer achukue Tandam , ila faida kubwa iko kwenye lorry kubwa..na lorry kubwa wote twajua ni zipi
 
Lori gani linalobeba Tan 30 mkuu??
Hivi hata unayajua haya magari kweli au truck zote kwako ni lori?

1:Tandam FUSO
2: SuperGreat FUSO/FaW
3:Kipisi
4: Kipisi MENDE
5:Kipisi na mtoto(Pulling)
6: Semi Trailer(Tanker,Skeleton ya Container,Flatbed nk)

7: Semi Trailer na Kidengla(Dangler).... Hii mpya

Ipi hapo ya kubeba Tani 30???

Sio mchezo Tani 30 mkuu TANROADS wanakuangalia tu
Sibishani na wewe kwani sio mashindano.
Nadhani ungekua umeweka kila gari hapo juu inabeba kiasi gani ungekua vema. Yaani unashangaa gari kubeba tani 30??? Really? Sidhani kama ulikua serious na ukisemacho.
 
Back
Top Bottom