Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mwaga cheche mkuu, Moto uwake.Kama ndio unaingia kwenye biashara anza na fuso tandam kwanza japokuwa waliokomaa kibishara wanasema lorry kubwa ina faida kulinganisha na fuso sababu fuso tandam inapakia tani 18-20 tu mwisho wakati lorry inabeba zaidi ya tani 30
Kama ndio unaingia kwenye biashara anza na fuso tandam kwanza japokuwa waliokomaa kibishara wanasema lorry kubwa ina faida kulinganisha na fuso sababu fuso tandam inapakia tani 18-20 tu mwisho wakati lorry inabeba zaidi ya tani 30
Kwa nini umemkataza tandam boss,tujuzaneKama unaanza hii biashara nakushauri anza na scania kipisi, na kama roho yako inadunda kila ukiona Fuso basi isiwe tandam.
Utanishukuru baadae
Kama unaanza hii biashara nakushauri anza na scania kipisi, na kama roho yako inadunda kila ukiona Fuso basi isiwe tandam.
Utanishukuru baadae
Kama ndio unaingia kwenye biashara anza na fuso tandam kwanza japokuwa waliokomaa kibishara wanasema lorry kubwa ina faida kulinganisha na fuso sababu fuso tandam inapakia tani 18-20 tu mwisho wakati lorry inabeba zaidi ya tani 30
Hamna biashara ambayo haina risk. Namna Bora kabisa ya kupunguza risk kwenye biashara ni kupata elimu, maarifa na taarifa sahihi kuhusiana na biashara unayotaka kuifanya.
Kuna namna nyingi za kujifunza.
Waweza kujifunza kutokana na makosa ya waliotangulia, hii ni njia nzuri sana kwa kujifunza.
Pia unaweza kujifunza kutoka kwa walio fanikiwa.
Hapa pana kudanganywa kwingi.
JamiiForums pamesheheni wajuzi.
Fuatilia uzi huu, hutotoka kama ulivyoingia
Nadhani wewe ndio hujamwelewa ..yuko sahihiLori gani linalobeba Tan 30 mkuu??
Hivi hata unayajua haya magari kweli au truck zote kwako ni lori?
1:Tandam FUSO
2: SuperGreat FUSO/FaW
3:Kipisi
4: Kipisi MENDE
5:Kipisi na mtoto(Pulling)
6: Semi Trailer(Tanker,Skeleton ya Container,Flatbed nk)
7: Semi Trailer na Kidengla(Dangler).... Hii mpya
Ipi hapo ya kubeba Tani 30???
Sio mchezo Tani 30 mkuu TANROADS wanakuangalia tu
Lori gani linalobeba Tan 30 mkuu??
Hivi hata unayajua haya magari kweli au truck zote kwako ni lori?
1:Tandam FUSO
2: SuperGreat FUSO/FaW
3:Kipisi
4: Kipisi MENDE
5:Kipisi na mtoto(Pulling)
6: Semi Trailer(Tanker,Skeleton ya Container,Flatbed nk)
7: Semi Trailer na Kidengla(Dangler).... Hii mpya
Ipi hapo ya kubeba Tani 30???
Sio mchezo Tani 30 mkuu TANROADS wanakuangalia tu
nieleweshe labda sijamuelewa with reference to tandam na kipisi( Ndo roli kubwa?)nadhani ww ndio hujamwelewa ..yuko sahihi
Wewe umejifungia kwenye kipisi na Tandam.. yeye hajajifungia humo..anaposema lorry kubwa that means ni kama kichanja, pulling etcnieleweshe labda sijamuelewa with reference to tandam na kipisi( Ndo roli kubwa?)
Na ubebaji wa tan 30
Naweza nikajifunza kitu kipya
Mimi au mada??wewe umejifungia kwenye kipisi na Tandam.. yeye hajajifungia humo..anaposema lorry kubwa that means ni kama kichanja, pulling etc
Kuna mada na kuna comment.. comment inaweza ikanenda ndani zaid ya kuliko mada kuu, we rudi kusoma upya utaelewa vizuri.. jamaa alishauri kama n new comer achukue Tandam , ila faida kubwa iko kwenye lorry kubwa..na lorry kubwa wote twajua ni zipiMimi au mada??
Mleta uzi kauliza hivyo ndo maana nilipoona Tan 30 nikamuuliza aniambie anamaana gan kwamba Kipisi ndo kina beba au je anaongelea trela hizo nimezilisti hapo
Kwakua watu wengi wageni wa haya magari huwa wanadhani kipisi kwakua ni scania na kina bodi kubwa na muonekano then kinabeba kuliko tandam. Hapo ndo waswas wangu nilitaka anieleze vizuri
Nilidhani kuna kipya sijaelewa...... basi comment yangu inabaki kama ilivyo mpaka atakaponijibu
Sibishani na wewe kwani sio mashindano.Lori gani linalobeba Tan 30 mkuu??