Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kati ya gari hizi. Ungependekeza ipi kuwa ni bora ya nyenzie.
Bwana mdogo anahitaji kununua gari ambayo ataweza kuwa anatumia Dar mara moja moja na pia kusafiri nayo mikoa ya Jirani kama Morogoro, Tanga, Iringa na Dodoma.
Anazingatia suala la ulaji wa mafuta, uimara na nguvu pia.
Toyota Grande Mark II GX 110 (CC 2000)
Toyota Brevis ( engine ya CC 2400 kama sijakosea)
Toyota Ipsum model ya pili (CC 2400)
Toyota Mark II (sijajua ina engines ngapi.but engine ya cc ndogo)
Naombeni ushauri nimpatie bwana mdogo.