Kati ya gari hizi za Toyota Ungependekeza ipi kuwa ni bora zaidi ya nyingine

Ipsum ni balaa hiyo Chuma Kwenye speed na hata Kwenye fuel consumption iko poa kuliko brevis na Mark 2
Kwenye Consumption, nina machache ya kusema mzee.

Brevis huenda 11.5km/L
Ila power yake ni kubwa sana.

Ipsum ni around 15 (point something) km/L

Brevis, tunaiweka kwenye kundi moja na crown athletes linapokuja suala la mbio, na utulivu iwapo kwenye high speed.

Nimetumia zote, kwa nyakati tofauti tofauti.
 
Kwenye speed brevis na MarkX ni wababe Hilo halina ubishi....Ila ipsum Kwa maisha yetu ya familia na Safar Linafaa zaidi
 
Back
Top Bottom