Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Mark II Grande ina fuel consumption nzuri zaidi ya Ipsum na Brevis? Kwa nini?Kwa uchumi wake kama wa kulega lenga aende tu kwa mark II grand ila kama anataka power na pulling ipusum na mnyama brevis zitamfaa zaidi
Mkuu behaviourist una SUV kweli? Au ni ya shemeji yako.Mimi siyo mpenzi wa sedan.Hizi gari aina ya sedan zinafanana na watoto wa kitimoto!Mimi my wangu ni gari aina ya SUVs[emoji847][emoji847][emoji847]
SUV yangu hii hapa mkuu[emoji847][emoji847][emoji847]Mkuu behaviourist una SUV kweli? Au ni ya shemeji yako.
Chukua gx 110 huo mzigo ni balaa [emoji91][emoji91][emoji91]Kati ya gari hizi. Ungependekeza ipi kuwa ni bora ya nyenzie.
Bwana mdogo anahitaji kununua gari ambayo ataweza kuwa anatumia Dar mara moja moja na pia kusafiri nayo mikoa ya Jirani kama Morogoro, Tanga, Iringa na Dodoma.
Anazingatia suala la ulaji wa mafuta, uimara na nguvu pia.
Toyota Grande Mark II GX 110 (CC 2000)
Toyota Brevis ( engine ya CC 2400 kama sijakosea)
Toyota Ipsum model ya pili (CC 2400)
Toyota Mark II (sijajua ina engines ngapi.but engine ya cc ndogo)
Naombeni ushauri nimpatie bwana mdogo.
Yaani nawe ukipanda mbele kwenye ile RAV 4 ya shemeji yako unaona tayari ni yako.... Ukija kumiliki gari siku moja njoo tuongee.Mimi siyo mpenzi wa sedan.Hizi gari aina ya sedan zinafanana na watoto wa kitimoto!Mimi my wangu ni gari aina ya SUVs🤗🤗🤗
Inaweza kwenda Kms ngapi kwa lita moja.Mark II grande is the best...
Inautulivu wa hali ya juu ikiwa juu ya lami. Ulaji mzuri wa mafuta
Mkuu ipsum haiwezi kuizidi power mark ii grand never.Kwa uchumi wake kama wa kulega lenga aende tu kwa mark II grand ila kama anataka power na pulling ipusum na mnyama brevis zitamfaa zaidi
Kwanini unaziita majini?haya baba . mark 11 ilaa hebu hamia premio hayo majini ulooredhesha hapo yatakuua kwa mawazo
Kwa nijuavyo, hua inakwenda 15km/LInaweza kwenda Kms ngapi kwa lita moja.
I agree with you, hata brevis pia.Mark II grande is the best...
Inautulivu wa hali ya juu ikiwa juu ya lami. Ulaji mzuri wa mafuta