Kwenye Consumption, nina machache ya kusema mzee.
Brevis huenda 11.5km/L
Ila power yake ni kubwa sana.
Ipsum ni around 15 (point something) km/L
Brevis, tunaiweka kwenye kundi moja na crown athletes linapokuja suala la mbio, na utulivu iwapo kwenye high speed.
Nimetumia zote, kwa nyakati tofauti tofauti.