Kati ya Gender Development na Social Development ipi ni kozi nzuri kusoma

Shimamiyaa Mohd

New Member
Joined
Sep 13, 2022
Posts
4
Reaction score
7
Habari zenu wakuu

Jaman naomba msaada kozi gani nzuri ya kusomea kati ya gender and development na management of social development

Na vipi kwenye upande wa kujiajiri au kuajiriwa je ipi ni makertable?

Asanteni
 
Hizo kozi zote hazina tofauti. ni sawa isipokuwa majina ndio yametofautiana ila ajira zao zinafanana. Ni kama mtu akisema mjamzito na mwenye mimba. Kozi zote zinahusu mambo ya kijamii. Ushauri wangu angalia chuo kipi kikongwe au chenye jina ndio ukasome hicho.
 
Nimechaguliwa kusoma chuo cha Mwalimu nyerere mkuu....je vp kuhusu suala la ajira kwa hizi kozi....
 
Usiwaze asaivi hamna kozi mbaya wala mzuri ukishakua na connection yako tu mambo yanaenda ila zingatia zaid kweny kujiajiri na kuhusu MSD na Gender utofaut wake ni kwamb MSD inafocus katika kumanage maendeleo ya kijami
Kweli?
 
Back
Top Bottom