Shimamiyaa Mohd
New Member
- Sep 13, 2022
- 4
- 7
Hizo kozi zote hazina tofauti. ni sawa isipokuwa majina ndio yametofautiana ila ajira zao zinafanana. Ni kama mtu akisema mjamzito na mwenye mimba. Kozi zote zinahusu mambo ya kijamii. Ushauri wangu angalia chuo kipi kikongwe au chenye jina ndio ukasome hicho.Habari zenu wakuu
Jaman naomba msaada kozi gani nzuri ya kusomea kati ya gender and development na management of social development
Na vipi kwenye upande wa kujiajiri au kuajiriwa je ipi ni makertable?
Asanteni
Nimechaguliwa kusoma chuo cha Mwalimu nyerere mkuu....je vp kuhusu suala la ajira kwa hizi kozi....Hizo kozi zote hazina tofauti. ni sawa isipokuwa majina ndio yametofautiana ila ajira zao zinafanana. Ni kama mtu akisema mjamzito na mwenye mimba. Kozi zote zinahusu mambo ya kijamii. Ushauri wangu angalia chuo kipi kikongwe au chenye jina ndio ukasome hicho.
Usiwaze asaivi hamna kozi mbaya wala mzuri ukishakua na connection yako tu mambo yanaenda ila zingatia zaid kweny kujiajiri na kuhusu MSD na Gender utofaut wake ni kwamb MSD inafocus katika kumanage maendeleo ya kijamiKwa nini mbaya mkuu🥺
Achaneni na mambo ya kusomaBora hiyo ya Social Development itakuwa ni broad zaidi
Elimu ni muhimu sana mkuu. Taifa bila elimu limekufa.Achaneni na mambo ya kusoma
Kweli?Usiwaze asaivi hamna kozi mbaya wala mzuri ukishakua na connection yako tu mambo yanaenda ila zingatia zaid kweny kujiajiri na kuhusu MSD na Gender utofaut wake ni kwamb MSD inafocus katika kumanage maendeleo ya kijami