Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
vyote ni viumbe vya mungu havina feki wala realNime jaribu kufuatilia uhalisia wa hili beef and who is real kuliko mwingine katika suala zima kla hiphop music and life style and free style
Binafsi nimempa Wakazi ushindi katika ushindani huu na nimemalizia kwa msimamo huu baada ya kusiliza diss tracks zao attached.
Je wewe unaona nani real na nani feki?
...we choko endelea na kibao kata tu;for sûre Zilla atabaki kuwa king......wakazi anatafuta kiki tyuu