Kati ya Godzilla na Wakazi nani real na nani feki?

Kati ya Godzilla na Wakazi nani real na nani feki?

Hivi kwanini mnaendelea tumia jina la zila kumchomoa huyo mkazi!??

Acheni bana..

Msimfanabishe Zilla na vitu vya kipumbavu.

Hyo wakazi ana ngoma ngapi kwnza...ziwekeni hapa..
 
Zilla ni anauwezo mkubwa sana kushinda hats wakazi sema wamemfanya kua ma stres mpaka anatoka kwenye ramani hata izo nyimbo wakazi kaandika Ila zilla kafreestyle
 
Zilla ni Rapper Mkali sana kama akiamua kufanya mziki aache hizi mambo anazofanya Leo na aache kugombana na washkaji zake kina Nikki na One.

Inafahamika ujio wa Billnass unampa stress ila awe mtu mzima na akubali kufanya kazi na Billnass itakuwa bonge ya ngoma
 
Nime jaribu kufuatilia uhalisia wa hili beef and who is real kuliko mwingine katika suala zima kla hiphop music and life style and free style

Binafsi nimempa Wakazi ushindi katika ushindani huu na nimemalizia kwa msimamo huu baada ya kusiliza diss tracks zao attached.

Je wewe unaona nani real na nani feki?
vyote ni viumbe vya mungu havina feki wala real
 
"...mwache Jigga,mwache 50 hii inamaana stay you.." p the Mc
 
Back
Top Bottom