SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Nunua zote uzishindanishe mkuu.Touching is believing.Kati ya hizi aina mbilibza simu .
Google pixel na I phone ambayo inajielewa ipi nzuri nimechoka samsung
Ungeweka bajeti yako ili ushauliwe vizuriKati ya hizi aina mbilibza simu .
Google pixel na I phone ambayo inajielewa ipi nzuri nimechoka samsung
Sio lazima ubora ndio lazimaUngeweka bajeti yako ili ushauliwe vizuri
MUme mluguru kununua hiyo tu moja kajitahido maana bado ninayo simu ya samsungNunua zote uzishindanishe mkuu.Touching is believing.
Google pixel ni ml 1 na i phone ni ml 2 na laki 3Ulizia bei zote uniambie ni shingapi
Chukua iPhone kuanzia 12 ni NzuriSio lazima ubora ndio lazima
Hapo ngumu kusema maana umetamka brands.Kati ya hizi aina mbilibza simu .
Google pixel na I phone ambayo inajielewa ipi nzuri nimechoka samsung
Hivi,kuna uzi humu JF wanaeleza Luguruz wengi hawajui ku-read & write.MUme mluguru kununua hiyo tu moja kajitahido maana bado ninayo simu ya samsung
Ni watu mikono Yao nadra kuingia mifukoni!MUme mluguru kununua hiyo tu moja kajitahido maana bado ninayo simu ya samsung
Kabisa unalilia ubuyu unanunuliwa bada ya hamu kuishaNi watu mikono Yao nadra kuingia mifukoni!
Eeh upo Uzi huo,ukituma sms anatwanga live!Hivi,kuna uzi humu JF wanaeleza Luguruz wengi hawajui ku-read & write.
NB:Ni utani wa kuwachangamsha wapeleke watoto wao skuli.
Huyu anaelimu kubwa tu ila ukitaja pesa ameshapoteza fahamuHivi,kuna uzi humu JF wanaeleza Luguruz wengi hawajui ku-read & write.
NB:Ni utani wa kuwachangamsha wapeleke watoto wao skuli.
Yeye anapenda sms kuliko kupigaEeh upo Uzi huo,ukituma sms anatwanga live!
Kwenye 6*6nako mabahiri?Kabisa unalilia ubuyu unanunuliwa bada ya hamu kuisha
aseme anataka nini pia, picha, battery au niniHapo ngumu kusema maana umetamka brands.
Mfano ungesema nina laki 7, ninunue Google Pixel 7 Pro au ninunue iPhone 11 Plain? Maana zote zina range bei sawa.
Au sema bajeti, wajuvi wakuambie nunua simu flani.
BTW, Google Pixel mzuri kwenye picha mbovu kwenye video.
iPhone mzuri kwenye Video, kawaida kwenye picha.
Samsung kwote yupo average.
Mi ningebaki na Samsung.
Ndio umejuaje ukimwamsha anasema kesho asubuhi akiamka ukimwambia tena anakuambia mbruu sio yakuchezeaKwenye 6*6nako mabahiri?
Kuna Samsung special kwa hayo mambo ya picha, ukichukua A series lazima itakudisappoint kwenye picha.Hapo ngumu kusema maana umetamka brands.