SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
- Thread starter
- #21
Nimevutiwa na google pixelaseme anataka nini pia, picha, battery au nini
kwasababu image processing za iphone ni nzuri kama anataka mapicha akachukue tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimevutiwa na google pixelaseme anataka nini pia, picha, battery au nini
kwasababu image processing za iphone ni nzuri kama anataka mapicha akachukue tu
Samsung nimewachoka japo camera zao nzuriKuna Samsung special kwa hayo mambo ya picha, ukichukua A series lazima itakudisappoint kwenye picha.
Ana DNA ya ubahili huyo.Dhamira haimuambii kutumia.Ni kupokea tu kama shimo la taka.Tumia akili nyingi hapo.Utadayee juu ya shida mingi.Huyu anaelimu kubwa tu ila ukitaja pesa ameshapoteza fahamu
Duuh anakutesa!pole akikuacha njoo pm,nikuoe kabisa hutajuta!Ndio umejuaje ukimwamsha anasema kesho asubuhi akiamka ukimwambia tena anakuambia mbruu sio yakuchezea
YA kawaida tu nimenunua laki 3 samsung A05Samsung gani iliyokuchosha?
Ni shaipa ikapumzikeAna DNA ya ubahili huyo.Dhamira haimuambii kutumia.Ni kupokea tu kama shimo la taka.Tumia akili nyingi hapo.Utadayee juu ya shida mingi.
KweliiDuuh anakutesa!pole akikuacha njoo pm,nikuoe kabisa hutajuta!
Muache tuu akununulie yoyote mradi upo hewani, ukija kwangu utachukua zote mbili ili update uzoefu wa simu,nikikufungulia duka la simu uwe na uzoefu wa kujibu wateja.Kwelii
BAdo hujatumia Samsung, hebu jaribu kuanzia note 10+.YA kawaida tu nimenunua laki 3 samsung A05
NItakurejea nitanunua i phone na samsung halafu ni ikompareBAdo hujatumia Samsung, hebu jaribu kuanzia note 10+.
UnaheraaaKwenye 6*6nako mabahiri?
Unaheraaa
Hunitoi sadaka kweli kwa mizimu yakoEeh kama b4,we utaanza biashara M500,Itapendeza ili usinione mnyonge baada kupitia ubahili wa huyu mtani wangu!
Google Pixel siku hizi hazitumii Snapdragon, wana processor zao za Google Tensorukitaka kujua simu nzuri kwa kizazi hiki cha mitandao,kabla hujanunua angalia pratform ya hiyo simu kuna vitu lazima uvijue kazi zake.
chipset /procesor hii kazi yake ni wepesi wa kuandika nakufuta,na kazi zingine zoote za kwenye kioo cha simu yako.
CPU hii kazi yake ni kupanga mafaili kufungua na kuyafunga.ukiona unafungua faili na simu inapata moto shida iko hapa.
GPU hii kuediti picha na kazi zingine zinazi hisiana na hizi
.
lakini vyoote hivi vinabebwa na chipset./gaming procesor.ambaya kwa iphone wao wanatumia BIONIC yaani ni tofauti kabisa na zingine zoote kwenye simu ulizozizoea.
sasa hiyo google pix yako inaendana na chipset ya nokia ambaya ni snapdragon. hivyo kuifananisha pix na iphone umeikosea ipbone.labda iphone ya kichina.